Wednesday, March 4

Mwaka 2013 ujenzi wa hotel ya kwanza Afrika Mashariki itakayokuwa katikati ya maji kwenye ziwa Victoria ulianza nchini Uganda, huku ukigharamiwa na serikali ya nchi hiyo.

Mchoro wa jengo la hotel hiyo
Hotel hiyo inayotarajiwa kuwa na ghorofa nne, moja ikiwa ni ya mghahawa, ya pili ikiwa na vyumba vya kulala na mbili zinazosalia ni kwaajili ya matumizi mengine ilitarajiwa kukamilika baada ya
miaka miwili toka ujenzi uanze.

Hatua za awali za ujenzi wa hotel hiyo, picha ya mwaka 2013
Taarifa za sasa zinasema kuwa ujenzi huo umesimama kutokana na ukosefu wa shilingi bilioni 2 za Uganda (zaidi ya 1,252,000,000 TSH) zinazohitajika kuweza kukamilisha ujenzi huo.
Imehaririwa na Bongo5

0 comments:

-