Naomi Peter akitoa kipondo kwa mumewe.
Majirani wakiamulizia.
“Siku ya tukio, Naomi alimpeleka mtoto wake nyumbani kwa mzazi
mwenzake kutokana na kutopewa hela ya matumizi, wakati huo Shila alikuwa
na mwanamke wake mpya ndani, baada ya mabishano ya muda ndipo Naomi
akaanza kumshughulikia Shila kwa kumtandika mangumi.“Jamaa alikuwa hapeleki matumizi kwa mzazi mwenzie, mbaya zaidi alikataa na kudai mtoto si wake ndipo timbwili lilipoanzia,’’ kilisema chanzo hicho.
...Atimaye kipondo kikiendelea.
Chanzo hicho kilizidi kueleza kuwa, wakati ugomvi huo ukiendelea
mwanamke wa John wa sasa alikuwa kimya ndani na kushuhudia mpenzi wake
akipokea kichapo kisha kumkabidhi mwanaye amlee na yeye akaondoka zake.Hadi shuhuda wa habari hizi anaondoka eneo la tukio, muafaka juu ya kilichofikiwa ulikuwa bado haujapatikana.
0 comments:
Post a Comment