Balozi
wa Marekani nchini Korea Kusini ameshambuliwa kwa kisu usoni na pia
katika kifundo cha mkono wake na mshambuliaji aliyekuwa akibwata
kuhusiana na suala la kugawanywa kwa kipande cha ardhi ya jumuiya yao.
Mara tu baada ya shambulio hilo Rais wa Marekani Barack Obama amemtakia uponaji wa haraka
msaidizi
wake wa zamani Mark Lippert akimuombea uponaji wa haraka baada tu ya
shambulio lililofanywa wakati wa hotuba ya asubuhi.
msaidizi
wake wa zamani Mark Lippert akimuombea uponaji wa haraka baada tu ya
shambulio lililofanywa wakati wa hotuba ya asubuhi.
Balozi
huyo mwenye umri wa miaka 42 alikimbizwa hospitalini ambako alifanyiwa
upasuaji wa zaidi ya saa mbili ingawa madaktari wamethibitisha majeraha
yake hayatarishi maisha yake.
RSS Feed
Twitter
March 05, 2015
Unknown
0 comments:
Post a Comment