Tuesday, February 24


PBF_4318Mez B alifariki Ijumaa ya February 21 2015 nyumbani kwao Dodoma baada ya kulazwa hospitali Dodoma zaidi ya mara nne toka mwishoni mwa mwaka 2014, tatizo kubwa lilikua ni kifua na mgongo ambapo Jumatatu ya February 23 2015 akazikwa kwenye makaburi ya Wahanga Maili Mbili Dodoma.
Mpaka anafariki Mez B hakuwa ameoa wala hana mtoto ambapo pia amefariki siku chache kabla ya kuachia single yake mpya kwenye Radio na TV. PBF_4313Baadhi ya Wasanii waliojitokeza kumzika ni pamoja na Dogo Janja na Raymond wa Tiptop Connection, Hemedy PHD, Gelly wa Rymes, Baba Levo, M2theP, Noorah na Dark Master kutoka Chemba Squad.
PBF_4311

PBF_4294 PBF_4289
PBF_4287
PBF_4192 PBF_4199
PBF_4212
PBF_4252 PBF_4333
PBF_4354
PBF_4360 PBF_4375
PBF_4380
PBF_4388 PBF_4469
PBF_4487
PBF_4549 PBF_4547
PBF_4539
PBF_4537 PBF_4536
PBF_4532
PBF_4527 PBF_4525
Tags :

0 comments:

-