Jengo la Ghorofa 8 likiwa linateketea
katika ghorofa ya 4,Jengo hilo linamilikiwa na mfanyabiashara
anayejulikana kwa jina la Haji Kube ,vitu mbalimbali zikiwemo Frem za
Picha ,maua, vimeteketea kwa moto. ambapo mmiliki wa ofisi hiyo yuko nje
kwa safari
Hapo
wananchi wakikimbizana baada ya nguzo ya umeme kutowa mlipuko katika
Barabara ya Huru na Kongo Dar es Salaam kama ilivyonaswa na mwandishi wa
Jambo Leo alipokuwa akienda katika Jengo la Ghorofa 8 lililopo jirani
na Msikiti wa Kiblateni .
Hapo wananchi wakikimbizana na kuondowa bidhaa zao baada ya nguzo ya umeme
kutoa mlipuko katika Barabara ya Uhuru na Kongo Dar es Salaam. NA VICTOR SIMO
0 comments:
Post a Comment