Thursday, October 23


Ni aibu kubwa kuona mtu aliyekabidhiwa kuendesha akaunti ya twitter ya chuo kikuu cha Mzumbe hajui English. Nmeamua kusema hivyo baada ya kukutana na makosa mengi sana ya lugha kwenye akaunti hiyo. Ni Dhahiri kabisa mtu anayeendesha akaunti hiyo haijui kabisa lugha hiyo. Nmeanza kupata hisia mbaya kua inawezekana ile imani ya watu kupeana kazi kinyemela ndo imepelekea yote haya kutokea. Hebu soma baadhi ya Tweets zilizopo kwenye akaunti hiyo kisha nipe maoni yako. mzumbe 2 mzumbe

0 comments:

-