Ni post ya mwigizaji staa wa Tanzania Ray ‘Vicent Kigosi’ instagram ambayo ni baada ya kupata tuzo mbili juzi ambazo ni Life achievement Award na Best Director.
Ameandika >>> ‘Kila kwenye nia kuna njia, tulivyoanza tulionekana kama wauza sura tu lakini sasa hivi naweza sema kuwa tunayafaidi m
atunda tuliyoyavumilia kwa muda mrefu sana, naweza kuthubutu kusema kuwa sekta ya bongo movie ndio sekta ya bongo iliyotoa ajira kwa vijana wengi sana kuliko sekta yoyote‘
0 comments:
Post a Comment