Saturday, September 20




Habari zilizopo chini ya kapeti ambazo bado hazidhibitishwa ni kwamba yale nyota waR&B anayedwa na kukubalika na wengi ambapo umaarufu wake umeweza kuongezeka mara dufu kutokana na kutoka kimapenzi na Rihanna ... Ambapo wabongo wameweza kufananisha mapenzi ya Diamond na

Wema Sepetu ni kama Chris na Rihanna.. Sasa unaambiwa Mazungumzo ya mwisho ya kukubaliana ndio yanafanyika na
pia kama watakubaliana vizuri Chris Brown kutua Bongo bila utata hiyo .. Na kiingilio kikiwa sh elfu 50 wala msishangae

0 comments:

-