Friday, September 12


Screen Shot 2014-09-12 at 1.56.17 AM 
Siku hizi stori za mastaa wa dunia kuja kuitembelea Tanzania sio moja wala mbili manake wamekua wakija wengi tu na hawaachi kuipa nchi hii matangazo ya bure kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Screen Shot 2014-09-12 at 1.32.18 AM 
Mastaa wengine waliotua kwenye ardhi ya Jakaya time hii ni mwigizaji staa wa Marekani Gabrielle Union na mumewe Dwyane Wade mcheza kikapu wa Miami heat ambapo wameifanya Serengeti Tanzania kuwa sehemu nyingine waliyoitembelea duniani wakiwa kwenye honeymoon yao.
Screen Shot 2014-09-12 at 1.32.25 AMGabrielle ana wafuasi zaidi ya milioni mbili na laki tatu kwenye page yake ya insta alikopost hizi picha za Tanzania.

0 comments:

-