Profesa Jay amemuonesha mwanamke ambaye anaweza kuwa Mrs. Joseph Haule ambaye amemtaja kama mama mtoto wake.
Kupitia Instagram, Profesa amepost picha akiwa na mwanamke huyo na 
kuandika, “OF COURSE ni Baba LISA na Mama LISA. .... What more can I 
SAY?? #MWANALIZOMBE.”
Ukiiangalia kwa makini picha hiyo utagundua kuwa Profesa ameshikilia 
fimbo na mavazi ambayo alikuwa anafanyia shooting ya wimbo wake 'Tatu 
Chafu'. Usiongeze neno. Chukua sentensi alizoandika mkubwa
 RSS Feed
 RSS Feed Twitter
 Twitter August 21, 2014
August 21, 2014
 Unknown
Unknown








 
0 comments:
Post a Comment