LAANA SASA!! DAKTARI APACHIKA CAMERA CHOONI KUCHUNGULIA WAGOJWA
Daktari mmoja aamua kufanya kile
ambacho hakikutegemewa na wengi, kwa kupachika kamera kwa siri katika
vyoo vilivyoko katika hospitali anayofanyia kazi na kufanikiwa kuwa
chungulia wagonjwa wapatao 100 walipokuwa wakijisaidia na idadi hiyo ni
watu wazima na watoto.
Dokta Lam Hoe Yeoh almaarufu Robin mwenye umri
wa miaka 61 anayetokea BansteadSurrey,anatuhumiwa kwa makosa 30 yakiwemo
makosa mawili ya kuchungulia watoto na kuwarekodi,na makubwa Zaidi ni
yanayo karibia kua ya kingono.

WANAWAKE WA-IRAN WAFUNGISHWA NDOA NA IMAM SHOGA SWEDEN
2:41 PM
Maryam Iranfar (kushoto) akimbusu mkewake, Sahar Mosleh.
Shoga, Imam Zahed akiwafungisha ndoa Maryam Iranfar (mume mwenye mtandio) na Sahar Mosleh (mke).
Maryam Iranfar, Sahar Mosleh wakiwa na nyuso za furaha baada ya harusi.
Imam Zahed (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wapenzi hao baada ya kuwafungisha ndoa.
WAKIWA nyuso za furaha, wanawake wawili, wananchi wa Iran, Sahar
Mosleh na Maryam Iranfar hatimaye walifunga ndoa huko Stockholm,
Sweden, kama mume na mke baada ya miaka tisa ya kuishi pamoja.
Wawili hao waliikimbia nchi yao ya Iran ambayo ina sheria kali dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.
Ukiachana na umbali wa kutoka kwao hadi
Sweden, madada hawa waliokutana kwenye mtandao walikuwa huru kufurahia
siku yao hiyo kubwa huko Sweden ambapo harusi ilifanyika.
Maryam Iranfar ambaye ndiye mwanamme
anatarajiwa kupata mtoto na Sahar Mosleh (mkewe) ambaye ana ulemavu wa
mifupa, walifungishwa harusi na Iman Ludovid Mohamed Zahed ambaye pia
ana mahusiano ya kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Imam huyo anayeishi Afrika Kusini na
ambaye ni raia wa Algeria anayefahamika sana katika jamii ya mashoga na
wasagaji katika nchi za Kiislamu, alisema amefurahi kuona wanaharusi hao
wakiwa na furaha na kufanya jambo zuri la kuamua kuishi maisha huru
katika nchi za watu.
“Nashukuru kwa harusi nzuri kama hii iliyoniwezesha kuwabariki wanandoa hawa, ” alisema Imam huyo.
Kama wangekuwa nchini kwao Iran ambayo
ina sheria ya kupigwa bakora hamsini mara tatu kila wanapokutwa na
mahusiano hayo, na ambapo mara ya nne huwa ni adhabu ya kifo, wanadada
hawa wasingewezeshwa kufunga harusi hiyo.
“Nimefurahi pia kuona wanadada hawa
wameanzisha familia yao baada ya miaka mingi ya mateso kwani ni vigumu
kusafiri umbali mrefu kutoka nyumbani na kuja nchi za watu na kuanza
maisha kwa pamoja,” alisisitiza imam huyo.

0 comments:
Post a Comment