Friday, July 18

Msanii wa maigizo Elizabeth Michael maarufu kama "Lulu" jana jioni aliwakumbuka watoto yatima wa kituo cha ''Chakuwama'' kilichopo Sinza Meeda na kujumuika nao kwenye Futari iliyo andaliwa na msanii huyo... Lulu aliambatana na Mama yake mzazi, Mama Kanumba,
Dk. Cheni na watu mbali mbali.










0 comments:

-