MAMA mzazi
wa nyota wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura
Kassim ‘Bi Sandra’ amesema baadhi ya wasichana wanajitongozesha kwa
mwanaye kwa kuwa ni mtu maarufu.Mama
Diamond amesema wasichana wamekuwa na tabia ya kutumia hata namba yake
ya simu na kutuma picha za utupu kwake na kwa mwanaye.
“Napata
shida kwa kweli, wasichana wanajitongozesha kwa kupitia namba yangu ya
simu, mtu anakupigia anamuulizia Diamond na wengine ndiyo wanatuma hadi
picha za utupu kwa kutumia hii mitandao ya kijamii wenyewe wanasema,” alisema
0 comments:
Post a Comment