| Maharusi ,Joshua Nassari na Anande Nnko wakiweka pozi kwa ajili ya kuchukuliwa Taswira. |
| Maharusi ,Joshua Nassari na Anande Nnko wakiwa na wapambe wao katika pozi la kuchukua Taswira. |
![]() |
| Taswiras katika maeneo mbalimbali ya Ngurdoto Mountain Lodge. |

![]() |
| Bwana Harusi Joshua Nassari akiwa amebebwa na wapambe wa Bi Harusi. |
![]() |
| Bi Harusi Anande Nnko akiwa amebebwa na Bwana Harusi pamoja na wapambe wake. |
| Pozi tofauti za Maharusi. |
| Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na wazizi wa Bi Harusi Anande Nnko pamoja na ndugu zao. |
| Maharusi wakiwa na Mzee Ediwn Mtei pamoja na Mama Mtei. |
| Msanja Mkandamizaji na Oscar Nyerere pia walipata picha ya pamoja na maharusi. |
| Bwana Harusi Joshua Nassari akiwa katika pozi la picha na wazazi wake. |
| Bunge la Jamuhuri ya muungano pia liliwakilishwa vyema.Naibu Spika Job Ndugai akipata taswira na maharusi. |
RSS Feed
Twitter
June 10, 2014
Unknown




0 comments:
Post a Comment