Wasanii zaidi ya 50 waliotengeneza na ku-record wimbo wa miaka 50 ya
muungano wa Tanganyika na Zanzibar, pamoja na wafanyakazi wa Radio
Clouds Fm tayari washaanza safari ya kuelekea Dodoma.
Kampeni ya Tanzania Naiaminia inatarajiwa kufanyika mjini Dodoma, huku mgeni rasmi akiwa ni Mh Raisi Jakaya Mrisho Kikwete.
Mrisho mpoto, ambae kama kawa ameendeleza historia yake ya kutembea peku
Mkuu wa vipindi, Clouds Fm, Sebastian Maganga na Suzy Baltazari
Roma na Kalala Jr
Linex
Kalal Jr, Luiza Mbutu na Jose Mara
Baba Levo
Adam Mchomvu na Babab Levo
Queen Darlin na mwenzie
Nuh Mziwanda na Shilole
Godzilla na Mwasiti
Izzo B na Quick Rocka
Young Killa
Asley n amwenzie wanaounda kundi la mkubwa na wanawe
Recho na Baby J
Ommy Dimpoz, Fetty na Mama jonnii
0 comments:
Post a Comment