Monday, June 23


Habari njema kwa wote waliopata mwaliko wa kuhudhuria siku ya utoaji tuzo za watu, June 27 kuwa watapata fursa ya kuiona kwa mara ya kwanza video mpya ya Ben Pol, ya wimbo wake ‘Unachora’ aliomshirikisha Joh Makini. Video hiyo imeongozwa na nominee wa kipengele cha muongozaji wa video zinazopendwa kwenye tuzo hizo, Nisher. Ben Pol pia anawania kipengele cha video ya muziki inayopendwa ya mwanamuziki wa kiume kwa video yake ‘Jikubali’.

0 comments:

-