Baba mzazi wa flaviana pamoja na wadogo zake
Tanzania leo tumewakumbuka ndugu zetu ambao walipoteza maisha kwenye
ajali ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba ambayo ilizama siku kama ya leo
mwaka 1996 ambapo miongoni mwa watu waliopoteza maisha ni mama mzazi wa
mwanamitindo Flaviana Matata pamoja na mtoto wa mjomba wake ambao
walikua safarini.
Leo Flaviana Matata akiwa na Ambwene Yesaya ‘Ay’ na baadhi ya wasanii
wengine wa Tanzania pamoja na viongozi mbalimbali wa dini waliungana na
Watanzania waliopata nafasi kuhudhuria ibada iliyofanyika kwenye
makaburi yaliyopo eneo la Igoma Jijini Mwanza.
RSS Feed
Twitter
May 22, 2014
Unknown
0 comments:
Post a Comment