Jarida la Vogue lakini safari hii la Hispania limeamua kujibu mapigo ya wenzao wa US kwa kuwaweka kwenye cover mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo na mchumba wake mwanamitindo Irina Shayk.
Irina ambaye ni raia wa Urusi ni mmoja wa wanamitindo maarufu duniani, kwa pamoja na Ronaldo, Vogue wanategemea kuuza nakala nyingi sana la jarida lao hilo linalotarajiwa kutoka mwishon
RSS Feed
Twitter
May 20, 2014
Unknown
0 comments:
Post a Comment