Friday, May 2

C.E.O WA INFO IS HOT AKIZUNGUMZA NA  WADAU..picha na maktaba yetu

C.E.O wa INFO OS HOT bwana James ulomy Hii leo amezungumza na wadau wa blog hiyo kuhusu Brand yake ya T-shirt aliyoitoa mwanzoni mwa mwezi wa nne ambapo ameshukuru kwa Brandi iyo kupokelewa vizuri sokoni na zaidi sana kufanya vizuri sokoni.
Nafurahi sana kuwa T-shirt zimepokelewa vizuri na watu wengi sana wamezipenda hivyo T-shirt kwa sasa karibia maeneo yote tunataarifa kuwa zimekwisha, na kwa sasa tunajipanga kutoa toleo la pili nazo pia zitasambazwa maeneo mabalimbali hapa nyumbani nchini Tanzania na nje ya nchi...
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwa wadau wote ambao walipata nafasi ya kupata T-Shirt hizo na kuzinunua katika maeneo mabalimbali muendelee na nia na moyo huo huo wa kuwasapoti wajasiriamali watanzania.

Pia Pongezi hizo nizipeleke pia kwa uongozi wa chuo cha uandishi habari na uatangazji  arusha..kwa kuonyehsa ushirikiano mkubwa sana  katika brand hiyo mpya ya T-shirt,na pia kuwasapoti wajasiriamali wadogowadogo ambao wanafikiria kujiajiri wenyewe.
 Zaidi sana nitoe pongezi pia Kwa C.E.O wa Multmedia Mr Izack chiwanga pamoja na Mkurugenzi mkuu wa masoko Wa Multmedia Mr Godlisten Kitomari kwa kusimamia Brand hii hadi kukamilika kwa umakini na ubunifu mkubwa ambao umepelekea brand hii kupendwa zaidi.
Asante pia kwa Afisa Masoko Eric pheston aliepo nje ya nchi kwa kutusaidia kuzitangaza huko ambapo pia tumepata wadau wengi sitaweza kuwataja maafisa masoko wa mikoani kutokana na muda ila tupo pamoja na nawapongeza sana tuendelee na juhudi zetu
Asante pia kwa media zote ambazo zilitoa nafasi ya sisi kuzungumzia brand yetu hivyo ni pamoja na wamiliki mbalimbali wa blogs,website,pamoja na page mbalimbali ambao pia walitupa nafasi wa kuweka habari zetu pamoja na matangazo yetu katika sites zao...Shaddycsssic.com,Kevy clarity,Prince media,Kitomix,Kijiwe chetu Mbunge the Great  na n.k asante sana kwa ushirikiano wenu mkubwa
                 
C.E.O WA INFO IS HOT JAMES ULOMY


 Bado tunawakaribisha sana wadau wanaoitaji T-shirt wa jumla na rejareja ili muendelee kuvaa na kupendeza na mali ya hapahapa tz
Wasiliana nasi kwa Sim Namba o767331334 0656872530.
Email.Jamestheworld@gmail.com
Facebook,Twitter.Istagram :James ulomy.
Facebook,Twitter.Istagram:Godlisten Kitomari

0 comments:

-