Monday, April 28

wachezaji  tmu ya LA Clippers wavua jezi zao na kuzibwaga katikati ya uwanja dakika chache kabla ya kuanza game yao dhidi ya Warriors, kupinga kauli ya kibaguzi ya mmiliki wa timu hiyo, Donald Sterling.
Baada ya kauli ya kibaguzi ya mmiliki wa timu ya kikapu ya LA Clippers Donald Sterling ku-make headline,siku ya jana, wachezaji wa timu hiyo ambao wengi wao ni watu weusi, walionyesha kuudhika na kupinga kwa kauli hiyo kwa kuvua jezi zao na kuzitupa katikati ya uwanja na kubaki na jezi za warmup wakiwa wamevaa nje ndani kuficha nembo ya timu yao inayokaa katikati ya vifua vyao.


The Clippers took off their shooting shirts and dumped them at center court.

Inawezeka kauli hizo za mmiliki wa timu hiyo imesababisha kufungwa kwa timu yake usiku wa jumapili ya jana kwa kufungwa na Golden State Warriors 118 kwa 97 

0 comments:

-