Thursday, April 10


Katika moja ya Tour ya washiriki wa Urembo Reds Miss Udom 2014 walifanikiwa kukutana na millard Ayo pamoja na baadhi ya timu ya Cloud Fm katika Hotel ya African Dream Mini Dodoma
washiriki wa Reds Miss Udom wakiwa katika pozi




usikose kushuhudia Reds Miss Udom 2014 ijumaa hii ya tar 11/4/2014 katia ukumbi mpya wa kilimani kwa kiingilio cha kawaida cha buku ten na V.I.P ni laki 1 kwa watu sita kwenye meza moj

0 comments:

-