Saturday, April 26

Mugshot of Rachel Udoba





Mtangazaji wa Radio One  INAYOTANGAZA MATANGAZO YAKE KWA LUGHA YA KIZUNGU KWA MASAA 24 KWA WIKI
Rachel Udoba amekamatwa huko Atlanta/USA baada ya kukutwa akiiba katika duka ,, mtandao wa georgia-mugshot-search.com umethibitisha taarifa hizo, huku msichana huyo akitambulishwa kuwa ametokea nchi ya Gwinnett GA anafanya kazi radio one ya nchini marekani , , pia kupitia mtandano huo wamethibitisha kuwa mwanadada huyo yupo huru sasa.

0 comments:

-