RAIS wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya
Kikwete anatarajiwa kulihutubia Bunge Maalum la Katiba Kati ya Jumanne
na Jumatano wiki ijayo.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel
Sitta ameliambia bunge Mara baada ya kuapishwa na kukabidhiwa kiti chake
jana jioni.
Alisema kazi ya kuwaapisha wabunge wote iliyoanza jana jioni itakuwa
ikifanyika hadi saa 3 usiku na kukamilika Jumapili hii Machi 16, 2014.
Jumatatu wiki ijayo saa 10 jioni bunge hilo litakabidhiwa rasmi rasimu
ya katiba na Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba.
Sitta ameliambia bunge hilo kuwa wabunge watakuwa na mjadala wa jumla
kwa siku tatu kuhusu malengo na muelekeo wa Katiba mpya kabla...
0 comments:
Post a Comment