Sunday, March 16

Mwimbaji wa nyimbo za dini kanisani hapo Joji Baro na shoga wake
Maajabu hayawezi kuisha! kanisa jipya la mashoga limeanzishwa nchini kenya likipakana na super market ya nairobi upmarket na kanisa hilo lina washirika zaidi ya mia 200.
 mkurugenzi wa mawasiliano wa kanisa hilo
JOJ BARO ambaye pia ni mwimbaji shoga wa kanisa hilo kwenye picha hapo juu amesema kuwa walihamasika kufungua kanisa hilo kutokana na kutengwa kwa mashoga nchini humo na hivyo kushindwa kumuabudu Mungu wao na kushiriki ibada zao.


Joji Baro anasema makanisa mengine yanawatenga na hivyo kutowaalika katika ibada zao na wakati Mungu ni mmoja wanayemuabudu.
 
joj anasema kanisa hilo la Cosmopolitan Affirming Church ni kanisa kama makanisa mengine na watu wote wanakaribishwa kusali na marafiki na ndugu hao mashoga!!!
mmmh!!hii ni hatari sasa watanzania tuliombee taifa letu sana..... 

0 comments:

-