Saturday, March 1





Kwa haraka haraka au bila kuambiwa unaweza kuamini kabisa kuwa huyu kwenye picha ni mwanamke mwenye makalio makubwa kama ya wale wanawake waliojidunga sindano za wachina, lakini cha kustaajabisha huyu ni mwanaume aliyebadilisha jinsia yake kuwa mwanamke.

0 comments:

-