Golikipa
wa klabu ya FC Barcelona Victor Valdes alishatangaza tangu msimu
uliopita kwamba hatoongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo na
kwamba angeondoka Nou Camp baada ya msimu huu ambapo wakati Barca
wakiwa wanasaka mrithi wa Valdes, nahodha wa klabu hiyo Carles Puyol n
ae
ametangaza ataondoka kwenye timu hiyo mwishoni mwa msimu huu kwa sababu
anahitaji kupumzika.
Puyol
ambaye alianza kuichezea Barca tangu utoto wake, ni mchezaji wa pili
kwa kuichezea mechi nyingi klabu hiyo baada ya Xavi ambapo anasema baada
ya kupumzika kwa muda ataamua wapi aende kuendeleza maisha yake ya
soka.
RSS Feed
Twitter
March 05, 2014
Unknown
0 comments:
Post a Comment