Friday, February 7


 
Blog imezungumza na Mwanamuziki wa Injili John Lisu Mchana huu na kuitaarifu kuwa Mungu amembariki kwa watoto mapacha watatu Wawili wakiwa Wa Kiume na Mmoja wa Kike, Mama na Watoto Wanaendelea vema.

 
 

0 comments:

-