Monday, February 17



Burudani ni sehemu ya maisha katika maisha ya mwanadamu hususani burudani ya muziki imekuwa ikipendwa na kila mtu katika hii dunia lakini kwa sasa imekuwa kama kero kwa baadhi ya watu kutokana na utandawazi hapa namaanisha aina ya mavazi
ambayo huvaliwa na wasanii wakati wakiwa kwa stage 
Juzi Cindy kutoka Uganda na Dyna kutokea hapa bongo walifanya makamuzi ya nguvu kinoma
 Dayna akiimba kwa hisia moja ya wimbo wake mbele ya mashabiki wake
Nivute kwako!!! ni wimbo wake msanii Dayna akiuimba vyema Jukwaani leo kwenye Ukumbi wa JB Belmonte Hotel katika jiji la Rocky City (Mwanza) leo Valentine Day.

Dayna Nyange amekamua nyimbo zake kadhaa huku wadau wakimkubali zaidi katika ukumbi huu. Cha zaidi kwa Dayna hakuweza kuficha tabasamu lake huku akijua ni sikukuu ya Wapendanao hivyo amekamua kisawasawa!!!


Hapa Dyna akiwa kabambiwa na jamaa mambo yanaenda


Hapa mashabiki walipatwa na midadi nakuanza kuayarudi


Hapa Cindy Alikuwa mguu pande

0 comments:

-