Unaambiwa Nicki Minaj anajipanga kuja na muonekano mpya pamoja akijiandaa na kutoka na album au mixtape.
Mara nyingi picha zinazotoka kwenye media zinazomuonyesha Nicki Minaj akiwa na muonekano wa Barbie kama kawaida yake.
Lakini hizi picha alizozitoa mwenyewe
ameonekana kuwa na nywele zake mwenyewe bila vitu vingine anavyojitupiaga.
Enjoy kuziangalia hizo picha hapa.






RSS Feed
Twitter
February 07, 2014
Unknown
0 comments:
Post a Comment