Wednesday, February 19

WMK

Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe mwenzake (kulia) wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
2B

Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe mwenzie ambaye pia ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Mhagama(kulia)  mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
mtanda
 Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
1B
 Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha Mwingulu Nchemba (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe mwenzie  Zitto Kabwe(kulia) na Albert mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
WAJUMBE

Wajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo na jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.Picha na MAELEZO-Dodoma.

0 comments:

-