
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Florence
Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba jioni
hii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano Ikulu jioni hii
jijini Dar es salaam.

Wanahabari
wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu
Kiongozi Mhe. Florence Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge
Maalum la katiba yakitangazwa jioni hii katika ukumbi wa mikutano wa
ofisi za Mawasiliano Ikulu jijini Dar es salaam. Bunge la Katiba
litakalokuwa na wajumbe 640, litakutana kwa siku 70 (na kuongezewa siku
20 kama hawatoafikiana) kujadili Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume
ya Mabadiliko ya Katiba, Desemba 30, mwaka jana.
RSS Feed
Twitter
February 07, 2014
Unknown
0 comments:
Post a Comment