Friday, February 28

bunda2 
Hii ni Taarifa kutoka Mkoani Singida ambapo Habari zilizotoka zinahusisha ajali iliyohusisha  Basi la Bunda Bus lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi ya February 28  limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.

bunda3 
Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana ingawa inawezekana  ni sababu ya Bus hilo kuingia njia ya treni,mpaka sasa idadi kamili ya majeruhi  bado haijatangazwa huku mtu mmoja akifariki dunia,na chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa basi hilo.
bunda4
bunda5
bunda1

0 comments:

-