Friday, January 10

                             
                         
Manager wa beautiful Onyinye Wema Sepetu na fashion designer (single buttonist) Martin Kadinda ameamua kuwatolea uvivu wale maanonymous na wanaotumia fake accounts katika mtandao wa Instagram ili kutukana watu. Martin ameandika haya mara baada ya anonymous hater mmoja kupost picha yake na Wema na kuanza kumtukana bila
sababu. Soma alicho kiandika
 

0 comments:

-