Sunday, January 19

Katibu mkuu wa serikali ndugu ombeni sefue ametangaza baraza jipya la mawaziri kufuatia kujiuzulu kwa mawaziri watano na nafasi ya mgimwa aliyetangulia mbele za haki kevyclarity.blogspot.com inakujuza.
katika wizara ya raisi ikulu na wizara ya ofisi ya waziri mkuu hakuna mabadiliko yoyote.

Katika wizara ya fedha aliyekua naibu wa wizara hiyo ndg saada mkuya amekua waziri rasmi baada ya kifo cha mgimwa.naibu wake atakuwa ndugu mwigulu lameck nchemba huku Naibu wa pili akiwa ni adam malima aliyechukua nafasi ya janet mbene.

wizara ya ushirikiano wa kimataifa amebakia waziri benard membe na naibu wake wakati wizara ya katiba na sheria imeshikwa nae mwanamama asha roz migiro na naibu wake nI angela kairuki.
wizara ya afrika mashariki haina mabadiliko samwel sitta ndiye waziri na naibu wake ni abdallah juma.
katika wizara ya viwanda na biashara waziri ni abdallah kigoda na naibu wake ni janet mbene alietokea wizara ya fedha hapo awali.
 katika wizara ya ulinzi iliyokua wazi kufuatia kuvuliwa gamba kwa shamsi vuai nafasi hiyo imeshikiliwa nae hussein mwinyi aliekuwa naibu waziri.
wizara ya ujenzi haikuathirika na mabadiliko haya,na katika wizara ya afya waziri ni ndg seif rashid aliekua naibu na naibu waziri atakuwa ni kabwe steven kabwe.
wizara ya mambo ya ndani iliokuwa chini ya emmanuel nchimbi kwasasa itakua chini ya mathias chikawe na naibu wake ni perreila silimbi.
wizara ya elimu pia haikuwa na mabadiliko katika uwaziri ambapo shukuru kawambwa amesalia na naibu wake atakuwa jenista muhagama aliyechukua nafasi ya philipi mulugo.
wizara ya mifugo itakuwa chini ya ndg titus kaman aliyechukua nafasi ya david mathayo David aliejiuzulu na naibu wake atakuwa saika selela mbunge wa serengeti.
Wizara ya naendeleo ya jinsia haikuwa na mabadiliko yoyote ambapo sophia simba amesalia katika wizara hiyo na wizara ya ajira pia haikuathirika na mabadiliko aya ambapI gaudencia kabaka Na makongorro mahanga wamesalia katika wizara hiyo.kevyclarity.blogspot.com
katika wizara ya sayansi na teknolojia itaongozwa na makame mbarawa na naibu wake ni januari makamba.
Katika wizara ya nyumba na makazi wizara hiyo itakua chini ya anna tibaijuka na nafasi ya unaibu itashikwa nae simbachawene aliechukua nafasi ya goodluck olemedeye.
wizara ya maji imebaki chini ya magembe jumanne na pia mwakyembe amesalia katika wizara yake.
wizara ya habari utamaduni na michezo imeshikiliwa nae fenella mukangara huku  naibu akiwa mtangazaji wa zamani wa tbc na mbunge wa mbozi mashariki ndugu juma nkamia....na wizara ya maliasili na utalii imeshikwa nae lazaro nyalandu  aliekuwa naibu waziri wa wizara hiyo wakati ikiongozwa na hamis kagasheki.
Kwa mujibu wa katibu sefue mawaIri hao wataapishwa kesho.
kwa upande mwingine katibu sefue amesema kuwa taratibu za bunge la katiba zinaendelea vizuri.

kwa upande mwingine katibu sefue amesema kuwa taratibu za bunge la katiba zinaendelea vizuri.kevyclarity.blogspot.com

0 comments:

-