Tuesday, October 29

Sultan Kosen,30 mwenye urefu wa 8’3″ raia wa Uturuki ambaye ndiye binadamu mrefu kuliko wote kwa sasa katika mwaka 2013,amefunga ndoa ya kufurahisha iliyohudhuriwa na watazamaji wengi kutokana na urefu wa mkewe Merve Dibo,20 aliyemuoa kwa kuonekana mfupi akiwa na urefu wa 5’8″  kulinganisha na Sultan Kosen ambaye amemzidi kwa tofauti ya 2′ 5”.
                         Worlds-tallest-man-wedding-2649638
              Sultan Kosen akiwa amemshika mkono mkewe Merve Dibo huku akionekana mwenye furaha
                                 Worlds-tallest-man-gets-married-2649715
                                     Watazamaji wakimpiga picha Sultan Kosen kama kumbukumbu
                                      Worlds-tallest-man-wedding-2649642
Sultan Kosen akijiandaa kukata keki aliyoandaa kwa ajili ya harusi yake huku pembeni akiwa mkewe Merve Dibo     kevylarity


0 comments:

-