Kupitia Account yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram Mtangazaji wa
Clouds Fm Adam amepost picha hii na kuandika maneno hayo, picha hii
imezua maswali mengi kwa fans wake pia hata kwa watangazaji wenzie,
pitia baadhi ya comment utaelewa kwa ufupi.
huu ni usuperstar au ni nini?tupe maoni yako hapa
0 comments:
Post a Comment