Monday, October 28

                        gaga-3


Lady Gaga anasifika kwa vituko vya mara kwa mara vinavyomfanya awe controversial sana, and this time around ameamua kufanya onesho akiwa uchi wa mnyama!..ndio nimesema uchi wa mnyama katika show ya G-A-Y huko London, Uingereza Ijumaa iliyopita.cheki mapicha ya kutosha......
gaga-1
Gaga (27) alipanda jukwaani akiwa amevalia vazi linalomfunika hadi miguu lakini wakati akiendelea kuperform ghafla akaanza kusaula taratibu kutokea juu hatimaye kulishusha vazi lote na kubaki mtupu.
gaga-6
gaga-4
gaga-3
gaga-5

0 comments:

-