| Naibu
katibu mkuu wa jumuiya ya afrika mashariki (EAC) Bi JESCA ERIYO wa
kwankwanza kulia akifungua mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana katika
ukumbi wa LI GHT IN AFRICA |
| Baadhi ya vijana walioshiriki katika kongamano hilo wakiimba wimbo wa jumuiya ya afrika mashariki katika ukumbi huo |
| Naibu katibu mkuu wa jumuiya ya afrika mashariki (EAC)akiwa na baadhi ya watoto wa kituo hicho |
| Naibu
katibu mkuu wa jumuiya ya afrika mashariki (EAC) Bi JESCA ERIYO akizindua kongamano la vijana kutoka
nchi wanachama wa jumuiya ya afrika mashariki (EAC) |
| Naibu katibu mkuu wa jumuiya ya afrika mashariki (EAC) Bi JESCA ERIY,Wakurugenzi na washiriki mbalimbali wakiwa katika picha |
RSS Feed
Twitter
August 21, 2013
Unknown
0 comments:
Post a Comment