Thursday, August 29

Diamond Platinumz Kuwaacha Wapenda Burudani Midomo Wazi Kwa Mara Nyingineleo Hivi Ndivyo Alivyopanga Mashambulizi

Hivi ndivyo 'mnyamwezi', Diamond Platinumz alivyojipanga kutoa kazi yake mpya ambayo mpaka sasa mitaa inakodoa macho kuona itakuwaje.

Video hii itaonyeshwa ka mara ya kwanza kesho tarehe 29 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, katika tukio ambalo linatarajiwa kuandika historia mpya katika ulimwengu wa burudani.
Hii itakuwa ni Video ambayo pengine ndiyo itakuwa kali kuwahi kutokea bongo hasa kutoakana na mchakato wa maandalizi yake na gharama iliyotumika kuikamilisha, na hata namna ambavyo inapigwa promo [MyNumberOne]

0 comments:

-