Sunday, August 18




Raia mmoja wa China amewashangaza wengi kwa kujenga Jumba lake la Ajabu juu ya Ghorofa katikati ya mji kwa miaka sita,

ambapo limeundwa katika mahadhi ya nyumba iliyopo katikati ya miamba.

Jengo hili ambalo lipo juu kabisa ya ghorofa ambalo ni makazi ya watu tofauti, limekuwa kero kwa wengine na pia kuwa kivutio kwa upande mwingine,na tayari Serikali ya China imeshaligeuzia macho swala hili na kumuamuru mmmiliki wa jengo hili kubomoa kila kitu ndani ya siku sita.

0 comments:

-