Sunday, July 21


Kuna habari ambazo zinaenea kuhusu msanii kutoka Tanzania House of Talent, Estelinah Sanga maarufu kama Linah kwamba akiwa kwenye starehe usiku alilewa na kubakwa. 



baada ya maneno ayo lina akatanabaisha hivi kwa sauti yake mwenyewe, “Sio kweli kabisa ni maneno tu hayo, kuthibitisha hilo ni kwamba siku ya tatu leo sijatoka usiku na hayo maneo yanasemwa kwamba nililewa usiku”

0 comments:

-