Monday, July 20

IRINE uwoya naye rasmi atangaza safari ya matumaini!!


Haya kamanda UWOYA anaonekana akichukua fomu ya kuwania viti maalum vya ubunge huko tabora kwa tiketi ya CCM ,


twakutakia mafanikio mema katika safari yako ya kwenda kwa kuwatumikia wanamchi wa
TABORA bungeni watanzania wanajua uwezo wako na wanakusubilia jumba jeupe tu pale pale wanapopalilia wengi kwenda

William Mtitu on Instagram

No comments:

Post a Comment