Haya kamanda UWOYA anaonekana akichukua fomu ya kuwania viti maalum vya ubunge huko tabora kwa tiketi ya CCM ,
twakutakia mafanikio mema katika safari yako ya kwenda kwa kuwatumikia wanamchi wa
TABORA bungeni watanzania wanajua uwezo wako na wanakusubilia jumba jeupe tu pale pale wanapopalilia wengi kwenda
William Mtitu on Instagram
RSS Feed
Twitter
July 20, 2015
Unknown
0 comments:
Post a Comment