Mchezo uliopita uliopigwa April 6 2016 Real Madrid walikuwa na kumbukumbu ya kupokea kichapo cha magoli 2-0 kutoka kwa Wolfsburg ya Ujerumani, leo Wolfsburg wamekubali kichapo cha magoli 3-0 dhidi ya wenyeji wao Real Madrid, Magoli ambayo yamefunga na Cristiano Ronaldo katika dakika ya 16, 17, 77. nakufanya mchezo huo kumalizika kwa Real Madrid kuibuka na ushindi wa jumla ya magoli 3-0.
Wednesday, April 13
Hat-trick ya Cristiano Ronaldo imeipeleka Real Madrid nusu fainali.
Mchezo uliopita uliopigwa April 6 2016 Real Madrid walikuwa na kumbukumbu ya kupokea kichapo cha magoli 2-0 kutoka kwa Wolfsburg ya Ujerumani, leo Wolfsburg wamekubali kichapo cha magoli 3-0 dhidi ya wenyeji wao Real Madrid, Magoli ambayo yamefunga na Cristiano Ronaldo katika dakika ya 16, 17, 77. nakufanya mchezo huo kumalizika kwa Real Madrid kuibuka na ushindi wa jumla ya magoli 3-0.
No comments:
Post a Comment