Monday, October 5

PICHAZ:Hali ilivyo sasa nyumbani kwa Mch,Mtikila


Sehemu maalum iliyoaandaliwa kwa ajili ya wageni kuandikisha majina yao.Rafiki wa karibu wa marehemu Mch. Christoppher Mtikila, Anyambilile Mwakatole akizungumza na wanahabari msibani hapo.

Ndugu, jamaa na marafiki wakilia kwa hudhuni msibani.


No comments:

Post a Comment