MAZISHI YA BABA YAKE MH. JERRY SILAA MAKABURI YA SHULE YA SEKONDARI PUGU
Wananchi
waliohudhuria mazishi ya Baba yake Meya wa Ilala Jerry Silaa, leo
mchana at makaburi ya Pugu Sekondari. Baba yake Jerry ndiye aliyekuwa
rubani wa Chopa iliyoanguka na kumuua Mbunge wa Ludewa Mh. Deo
Filikunjombe.
Mheshimiwa Jerry Silaa mwenye miwani akiongea na Mwenyekiti wa Kamati ya mazishi kabla ya mazishi kufanyika.
No comments:
Post a Comment