Kuna usemi unaosema duniani watu wawili
wawili kwa maana ya kuwa kila mtu duniani ana mtu aliyefanana naye.
Huenda ukawa hujawahi kuonana na mtu unayefanana naye ila huwa inaamika
kuwa yupo tu sema bado haijatokea bahati ya nyinyi kukutana. Septemba 6
nakusogezea hii list ya mastaa wa soka na filamu wanao fanana.

Angel Di Maria kushoto anafanana na muigizaji Dev Patel.

Lionel Messi anatajwa kufanana na muigizaji Dustin Hoffman

Staa wa Senegal Demba Ba anatajwa kufanana na Tyrese Gibson

Olivier Giroud wa Arsenal anafanana na Errol Flynn

Kolo Toure yeye anafanana na staa wa movie ya Mandela Idris Elba

Fred kutokea Brazil anafanana na Dustin Diamond

Fernando Torres kutokea Atletico Madrid anafananishwa na Sacha Baron Cohen
No comments:
Post a Comment