Profesa Lipumba atangaza kung'atuka!!
Mwenyekiti
wa Chama cha Wananchi, CUF, Profesa Ibrahim Lupumba amejiuzulu
nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho kwa madai kuwa UKAWA
wameshindwa kusimamia makubaliano waliyokuwa wameyafikia.
Lipumba
ametangaza uamuzi huo LEO Mbele ya waandishi wa habari katika
ukumbi wa hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam na kusema
yeye atabaki kuwa mwanachama wa kawaida wa CUF.
No comments:
Post a Comment