Kesi iliyokuwa inawakabili Basil Mramba, Daniel Yona na Agrey Mgonja kuhusu matumizi mabaya ya madaraka imetolewa hukumu leo katika Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam.
Daniel Yona na Basil Mramba waehukumiwa kifungo cha miaka mitatu na faini ya Milioni tano kila mmoja baada ya kukutwa na hatia ya makosa 11, Grey Mgonja ameachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia.
No comments:
Post a Comment