Wakati wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan wasanii wengi pia walisimamisha kabisa kufanya show, jana July
18 2015 ilikuwa Sherehe ya Eid el Fitr ambapo ilikuwa ni sherehe
kuonesha kwamba ndio siku ya kusherehekea kumaliza mfungo.
Imekuwa ni bahati kuwashuhudia baadhi ya mastaa wenye majina makubwa kuwakuta kwenye stage moja wakitoa burudani, jana stage ya Leader Club imekuwa sehemu ambayo imeandika Historia hiyo kubwa kwa kuwakutanisha akina Juma Nature, Fid Q, Barnaba, Grace Matata na Mwasiti.
Tamasha limepewa jina la Music Planet, cheki pichaz za burudani yenyewe.
No comments:
Post a Comment